Sunday, July 20, 2014


«TANZANIAN PICNIC PARTY 2014»

CCW (OSLO) NA TASAO WANGEPENDA KUWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE (WAKUBWA NA WATOTO) KUWA PAMOJA KIPINDI HIKI CHA MAJIRA YA KIANGAZI

TAREHE: JUMAMOSI AGOSTI 16, 2014

MAHALI: SOGNSVANN (KITUO CHA MWISHO T-BANE NAMBA 6)

MUDA: SAA KUMI KAMILI JIONI

TUMETAYARISHA:
* GRILLMAT (HAMBURGER, PØLSE med LOMPE og Brød, DRESSING, NA PEREMENDE KWA WATOTO
* SAHANI NA KARATASI ZA KUPANGUSIA (SERVETTER)
* MAJIKO YA «ÉNGANG-GRILL»

VYA KUJA NAVYO:
* VINYWAJI BINAFSI
* MICHEZO/VIBURUDISHO TOFAUTI HASA KWA WATOTO
* VYAKULA/MATUNDA YA ZIADA, N.K.

KARIBUNI SANA!!!

Chama cha Watanzania Oslo, Norway
http://watanzaniaoslo.blogspot.com

No comments: