Wednesday, August 13, 2014


TAARIFA MAALUMU:


«TANZANIAN PICNIC PARTY 2014» 

IMEAHIRISHWA!


 CCW(OSLO) NA TASAO ZIMEAHIRISHA 

“PICNIC PARTY”

ILIYOKUWA IFANYIKE 

JUMAMOSI, 16.AGOSTI 2014,

KWA SABABU YA MVUA ZISIZOTABIRIKA,


TAFADHALI TUSAIDIANE KUSAMBAZA TAARIFA HII KWA NDUGU NA JAMAA WENGINE.


Chama cha Watanzania Oslo, Norway
http://watanzaniaoslo.blogspot.com


No comments: