Sunday, September 28, 2014

TANGAZO LA KIFO: Dr. Habiba Muza Rajabu wa The Norwegian University of Science and Technology, Trondheim amefariki dunia usiku wa kuamkia jana mjini Trondheim. Mwenyezi Mungu Amlaze Pema, Ameen!
2 comments:

Anonymous said...

Please hii si Picha ya R.I.P Dr Habiba
Change it pls

Chama Cha Watanzania Oslo - CCW Oslo said...

Asante kwa kutuonya kuwa picha tuliyoweka si ya Dr. Habiba