Tuesday, October 21, 2014

Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, ametangaza niya yake ya kuwania urais katika uchaguzi ujao . Pinda aliyasema hayo mjini London ambako mkutano wa viongozi unaoangazia uwekezaji zaidi katika bara la Afrika unaendelea .
No comments: