Sunday, November 09, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostata) jana Jumamosi 8.Novemba 2014 kwenye hospitali ya John Hopkins, iliyopo Baltimore jimbo la Maryland nchini Marekani. Hali yake inaendelea vyema - Chanzo: Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Dar es Salaam

No comments: