Sunday, November 16, 2014

Zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Uraia limeendelea leo, kituo cha Televisheni TBC1 kimeripoti kuhusu namna zoezi hilo lilivyofanyika. Katika taarifa hiyo baadhi ya watu waliohojiwa maeneo ya Sinza wameongelea kuhusu hilo, mmoja wa watu hao Chiku Abdalla amesema; “….Utaratibu ni mbovu, kwa hiyo kwa mtazamo wangu mimi kama mimi..wangefanya utaratibu kwamba Sinza C wachukulie Serikali ya mtaa C, D, E na A… yaani kila mtaa ukachukulie kwenye Serikali yake ya mtaa…”
No comments: