Monday, December 22, 2014

Rais Jakaya Kikwete amwajibisha waziri wa adhi, Profesa Anna Tibaijuka kufuatilia sakata la ESCROWRais Jakaya Kikwete amemwachisha kazi waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka kutokana na makosa ya ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma hasa namna alivyopokea sehemu ya hela za malipo ya Escrow huku Rais akimwekea kiporo waziri wa nishati na madini Profesa Muhongo Sospeter Muhongo. 


No comments: