Sunday, January 18, 2015


FOMU YA KUGOMBANIA NAFASI YA UONGOZI WA CHAMA CHA WATANZANIA WAISHIO OSLO NA JIRANI YAKE (CCW OSLO)Muhimu:

- Mtu yeyote mwenye asili ya Tanzania anaweza kugombea nafasi ya uongozi. Mnaombwa sana kujitokeza kwa wingi ili kufanikisha zoezi hili muhimu.

- Andika kwa herufi kubwa.

- Fomu hii inapatikana pia katika blogu ya CCW Oslo (http://watanzaniaoslo.blogspot.com).

- Rudisha fomu kabla ya tarehe 1 Februari 2015, kupitia barua pepe watanzaniaoslo@gmail.com au anwani CCW Oslo, Wilhelm Færdensv. 2B, 0361 Oslo.

- Tarehe ya uchaguzi itapangwa kufuatana na nafasi nzuri ya wagombeaje na wanajumuiya.

- Kwa ufafanuzi au maelezo zaidi, wasiliana na CCW Oslo kwa simu +4747227366 au barua pepe watanzaniaoslo@gmail.com


Fomu:

Jina kamili:

Anwani ya unapoishi:

Simu na/au barua pepe:

Nafasi zinazogombaniwa
Chagua nafasi moja tu
Uenyekiti:
1) Mwenyekiti

2) Kaimu mwenyekiti

Ukatibu:
3) Katibu

4) Kaimu katibu

Uweka hazina:
5) Mweka hazina

6) Kaimu mweka hazina

Kamati ya utendaji (wajumbe 6):
7) MjumbeChama cha Watanzania Oslo, Norway
                     No comments: