Friday, February 13, 2015


KUGOMBANIA NAFASI YA UONGOZI WA CHAMA CHA WATANZANIA WAISHIO OSLO NA JIRANI YAKE (CCW OSLO)Muhimu:

Mtu yeyote mwenye asili ya Tanzania anaweza kugombea nafasi ya uongozi. Mnaombwa sana kujitokeza kwa wingi ili kufanikisha zoezi hili muhimu.

Andika kwa herufi kubwa.

Rudisha jina lako kwenye nafasi moja kati ya hizo hapo chini, kupitia barua pepe


Chama Cha Watanzania Oslo,
Wilhelm Færdensv. 2B, 0361 Oslo.

Tarehe ya uchaguzi itapangwa kufuatana na nafasi nzuri ya wagombeaje na wanajumuiya.

Kwa ufafanuzi au maelezo zaidi, wasiliana na CCW Oslo kwa simu +47 47227366 au barua pepe watanzaniaoslo@gmail.com


Fomu:

Jina kamili:
Anwani ya unapoishi:
Simu na/au barua pepe:
Nafasi zinazogombaniwa
Chagua nafasi moja tu
Uenyekiti:
1) Mwenyekiti
2) Makamu mwenyekiti
Ukatibu:
3) Katibu
4) Naibu katibu
Uweka hazina:
5) Mweka hazina
6) Naibu mweka hazina
Kamati ya utendaji (wajumbe 6):
7) Mjumbe


Chama cha Watanzania Oslo, Norway
                     

No comments: