Friday, April 03, 2015

Mgawahawa wa kwanza mkubwa wa kiafrika wafunguliwa nchini Sweden


Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic (Sweden, Norway, Denmark, Iceland, Finland, Visiwa vya Åland na Visiwa vya Faroe) na nchi za Baltics (Estonia, Latvia na Lithuania), Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama “Lunch by Chef Issa” (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na wadau mara baada ya kuwasili kwenye mnuso wa uzinduzi wa mgahawa huo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog.


Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini kwenye nchi za Nordic (Sweden, Norway, Denmark, Iceland, Finland, Visiwa vya Åland na Visiwa vya Faroe) na nchi za Baltics (Estonia, Latvia na Lithuania), Mh. Dora Msechu akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (kushoto) pamoja na Chef Issa Kapande (kulia) wakielekea kwenye eneo la tukio. 


Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic (Sweden, Norway, Denmark, Iceland, Finland, Visiwa vya Åland na Visiwa vya Faroe) na nchi za Baltics (Estonia, Latvia na Lithuania), Mh. Dora Msechu na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia) wakielekea eneo la tukio. Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic (Sweden, Norway, Denmark, Iceland, Finland, Visiwa vya Åland na Visiwa vya Faroe) na nchi za Baltics (Estonia, Latvia na Lithuania), Mh. Dora Msechu (wa pili kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama “Lunch by Chef Issa” (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili kulia). Wanaoshuhudia tukio hilo ni Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (kushoto), Makamu mwenyekiti wa kamati ya elimu wa Halmashauri ya Manispaa ya Trollhattans Stad, Fahime Nordborg (katikati). 


Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic (Sweden, Norway, Denmark, Iceland, Finland, Visiwa vya Åland na Visiwa vya Faroe) na nchi za Baltics (Estonia, Latvia na Lithuania), Mh. Dora Msechu akiongozana na Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama “Lunch by Chef Issa” (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande kwenye sehemu maalum aliyoandaliwa.


Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic (Sweden, Norway, Denmark, Iceland, Finland, Visiwa vya Åland na Visiwa vya Faroe) na nchi za Baltics (Estonia, Latvia na Lithuania) Mh. Dora Msechu na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan (Sweden), Paul Akerlund wakiwa meza kuu.


No comments: