Saturday, April 18, 2015Uongozi mpya
wa Chama Cha Watanzania Oslo
Wajumbe

Aisha akijinadi kwenye nafasi ya uenyekiti 


Mwenyekiti wa zamani, Dr. Sendeu Titus TengaDaddy O. akijinadi kwenye nafasi ya uenyekiti 

Abdul Mohamed Mpily akijinadi kwenye nafasi ya uenyekiti Kura zikihesabiwaMwenyekiti mpya; Daddy O.Hassan


Makamu mwenyekiti, Ally Stambuli

Katibu; Bi.Janerose
Katibu mpya, Janerose Sukke na Mwenyekiti mpya, Daddy O.Hassan 


Viongozi wapya wa Chama Cha Watanzania Oslo
Katibu wa zamani; Mohamed Semboja na katibu mpya; Janerose SukkeMwenyekiti wa zamani Dr.Sendeu Titus Tenga na 
mwenyekiti mpya Daddy O.Hassan


No comments: