Saturday, September 26, 2015

Rais Jakaya Kikwete alipokutana na baadhi ya viongozi mjini New York, Marekani kwenye mkutano mkuu wa 70 wa Umoja wa Mataifa.


Rais Jakaya Kikwete na kiongozi wa Ujerumani, Bi.Angla Merkel.


Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu wa Denmark, Bw.Lars Løkke Rasmussen.


Rais Kikwete na Waziri Mkuu wa Bahamas, Bw. Perry Christie.

 
Rais Kikwete na Rais Mstahafu wa Finland,  Bi.Tarja Halonen.


 Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete na wa Msumbiji Bw. Felipe Jacinto Nyusi wakiwa pamoja na mawaziri wao wa mambo ya nchi za nje mjini New York.



No comments: