Wednesday, December 28, 2016

Wadaiwa Sugu Elimu ya Juu Kuanz a Kusakwa Nyumba Hadi Nyumba - Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu tanzania (HESLB), imesema itafanya kila liwezekanalo kuhakikisha linawatafuta wadaiwa sugu ambao watashindwa kurejesha mikopo yao, baada ya tarehe ya mwisho, Desemba 31, 2016 kupita.
No comments: