Friday, March 10, 2017

Polisi Dar es Salaam wameongea kuhusu kukamatwa kwa Vanessa Mdee - Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo Machi 10, 2017 amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu zoezi linaloendelea la ukamataji wa watuhumiwa wa dawa za kulevya ambapo amethibitisha kuwa wamemkamata mwimbaji Vanessa Mdee ni baada ya kutajwa kwenye orodha ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
No comments: