Kwa Watanzania na wenye nasaba na asili
ya Tanzania duniani
Tunapenda
kukujulisha kuwepo kwa Baraza la Diaspora kwa Watanzania Duniani. Lengo la
Baraza ni kuwaunganisha diaspora wote wa Kitanzania ktk taasisi moja ili
kupata taarifa mbalimbali zinazowahusu diaspora wa Tanzania kwa haraka na
kushauriana kuhusu mahitaji ya diaspora na jinsi ya kuyatetea. Kupata
taarifa hizo bonyeza Link hii
Kujiunga
na Baraza bonyeza link hii http://www.tdcglobal.org/member-register/
Karibu
sana
NB:Ukipatwa
na tatizo lolote kwenye kujiunga piga simu
+47 46 21
86 09
Ukipata
taarifa hii mjulishe na mwenzako.
Agnes Lerdorf
Kamati ya Mahusiano na Umma
Tanzania
Global Diaspora Council
Pamoja
Tunaweza - Mtu Kwao Ndio Ngao
No comments:
Post a Comment