
Habari za uhakika kutoka ndani ya hospitali hiyo zinasema, Chifupa alipokewa hospitalini hapo juzi usiku kwa ajili ya matibabu ya maradhi yanayomsumbua. Vyanzo vya habari kutoka hospitalini hapo viliieleza Tanzania Daima jana kwamba Chifupa alikuwa amelazwa katika wodi ya watu maarufu (VIP) alikofanyiwa vipimo kadhaa na muda mfupi baadaye akaanzishiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment