MWALIMU: Ehee, vipi hali yako? Unajisikiaje sasa?
MGONJWA: Sijambo sasa, lakini nina wasiwasi na wewe. Mwenzako nilipokuja hapa nililetwa na polisi watano na nimekaa hapa miaka kumi. Wewe mwenzangu mapolisi wote hao umekuja nao sijui utakaa miaka mingapi...
Imetumwa na Pwagu na Pwaguzi: pwagu.na.pwaguzi@oslo.online.no
No comments:
Post a Comment