Saturday, June 30, 2007

Sheria mpya ya uhamiaji


Ot.prp. nr. 75
(2006–2007)

Om lov om utlendingers adgang til riket
og deres opphold her (utlendingsloven)
________________________

Waziri anayeshughulikia masuala ya wageni aliwasilisha muswada wa sheria mpya ya uhamiaji nchini, Norway, Ijumaa 29. Juni 2007. Muswada huo uko kwenye lugha ya Kinorwejiani. Kwa wale wanaokijua angalieni kiungo hapo chini:




No comments: