
Mahakama Kuu ya Norway jana Ijumaa, 21 Septemba 2007 imetoa hukumu ya kuwapa wanunuzi wa simu za mikononi kuwa na garantii ya miaka 5, badala ya ilivyokuwa kuwa zamani ambapo wateja walikuwa na garantii ya miaka miwili. Kesi hiyo imefika hadi mahakama kuu, baadaya ya baraza la wateja kulalamika kuwa garantii ya mwaka au miaka miwili ni ndogo. Kesi hiyo imeendelea kwa muda mrefu kabla ya kufikishwa mahakama kuu.
Chanzo cha habari: Norwegian Broadcasting Corporation (NRK)
No comments:
Post a Comment