Tuesday, October 16, 2007


Chama Cha Watanzania Oslo (CCW Oslo) kinawaomba/wakumbusha kuwa, kila Mtanzania mwenye wazo lolote la kuboresha utendaji kazi wa chama, anakaribishwa. Tafadhali tuandikie kwa barua pepe:
au
tuma ujumbe mfupi (SMS) simu:
+ 47 95 78 21 96
Asante kwa mawazo yako ya kukijenga chama.
Wenu,
kamati ya utendaji,
Chama Cha Watanzania Oslo.


No comments: