Kundi C
Indomitable Lions 5
Chipolopolo 1
Chipolopolo 1
Magoli yaliyofungwa na Geremi, Joseph Desire Job, Achille Emana, na Samuel Eto´o yamewapa matumaini makubwa Kameruni ya kuingia kwenye robo fainali. Mechi hii ilichezwa kwenye uwanja wa Baba Yara mjini Kumasi. Magoli ya Kameruni yalifungwa dakika ya 28, 32, 44, 65 na 82.
The Pharaohs 3
Sokoor Al- Jediane
(Desert Hawks) 0
Sokoor Al- Jediane
(Desert Hawks) 0
Wamisri (The Pharaohs) wamewafungwa Wasudani (Desert Hawks). Wasudani walianza mpira kwa kuwabana vizuri Wamisri kila kona. Goli la kwanza la Misri lilifungwa kwa penalti na Hosni Abd Rabou dakika ya 29. Baada ya kufungwa goli Wasudani walianza kupwaya. Goli la pili la Misri lilifungwa dakika ya 77 na Mohammed Abourika, na la tatu dakika ya 83 na Mohammed Abourika.
No comments:
Post a Comment