Thursday, January 31, 2008


Marehemu Mugabe Were, alikuwa Mbunge wa Orange Democratic Movement (ODM) Embakassy, Nairobi, alipigwa risasi na kuuawa na polisi. Hatima ya Kenya haijulikani. Rais Mwai Kibaki badala ya kukaa na kuzungumza na mpinzani wake, Raila Odinga na msuluhishi wa Umoja wa Mataifa, Katibu Mkuu wa zamani, Kofi Annan, huyooo...kenda Addis Ababa kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa Umoja wa Afrika...


No comments: