Nusu fainali
Kameruni 1
Ghana 0
Ghana 0
Goli lililofungwa na Nkong dakika ya 70 limeiwezesha Kameruni kuingia fainali zitakazofanyika Jumapili ijayo. Ghana walicheza kwa moyo na ari kubwa lakini walishindwa kabisa kuipenya ngome ya Kameruni iliyokuwa ikiongozwa na kapteni mkongwe Rigobert Song. Junior Agogo hakufua dafu kwa beki huyu mkongwe!
Timu zilikuwa hivi:
Ghana: Kingson, Sarpei, Pantsil, Addo, Annan, Draman, Ayew (Barusso 86), Essien, Agogo, Muntari, Quincy (Baffour 61). Marizevu: Dauda, Adjei, Mensah, Afful, Alhassan, Asare, Kingston, Kumordzi, Asamoah, Gyan.
Cameroon: Kameni, Geremi, Song, Atouba, Bikey, Emana (Binya 77), Song Billong, Mbia, Job (Nkong 62), Eto'o, Idrissou (Epalle 46). Marizevu: Hamidou, Mbarga, Angbwa, Tchato, Essola, M'Bami, Makoun, N'Guemo, Tomou.
Aliyepewa kadi nyekundu Bikey (Kameruni, dakika ya 90).
Aliyepewa kadi ya njano: Song (Kameruni).
Goli: Nkong 71 (Kameruni).
Refarii: Abderrahim El Arjoune (Morocco).
No comments:
Post a Comment