Mkurugenzi TAKUKURU
nae amwaga manyanga..
nae amwaga manyanga..
Taarifa zilizopatikana mjini Dodoma sasa hivi ingawa hazijathibitishwa zinasema kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Bw Hosea pichani naye amejiuzulu. Taarifa hizo zinasema Mkurugenzi huyo alijiuzulu rasmi jana usiku na anasubiri ridhaa ya Rais. Huyu anakuwa mtu wa nne kujiuzulu kufuatia kashfa ya Richmond kampuni ya mkobani iliyolisababishia taifa hasara ya mamilioni. Taarifa zaidi tutatawaleta kadri muda kadri zitavyoshuka hapa.
Kutoka: http://haki-hakingowi.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment