Sunday, February 03, 2008

Africa Cup of Nations 2008

Robo fainali

Ivory Coast 5

Guinea 0



Ivory Coast (Les Éléphants/The Elephants) wamefanya mauaji baada ya kuwafunga Guinea (Syli Nationale/National Elephants) 5 - 0. Ivory Coast wanaingia nusu fainali.


Mashabiki wa Ivory Coast


Mashabiki wa Ivory Coast wakiwa na picha ya kipenzi chao,
Didier Drogba


Ismael Bangoua (Guinea) akimzuia Arthur Boka (Ivory Coast)
Picha na AP Photo/Rebecca Blackwell.


Didier Zokora (Ivory Coast) akimtoka Mohammed Sacko (Guinea).
Picha na REUTERS/Siphiwe Sibeko (GHANA)


No comments: