Mh. Spika nimetafakari kwa kina sana jambo hili, nikajiuliza kulikoni mpaka watu wazima wakakaa na kuamua kufanya haya…nimetafakari sana na kugundua haya yote ni Uwaziri Mkuu…it is their wish which am going to grant…Mh. Spika nimetafakari sana jana usiku juu ya jambo hili, nimeamua kumuandikia Mh. Rais barua ya kujiuzulu….!” Mh. Edward Lowassa
“Yesu hakutenda dhambi lakini alihukumiwa..” Nazir Karamagi
“Siogopi kuwajibika kwa maana hiyo…lakini kimsingi mimi ni mtu ninayeheshimu uwajibikaji…namuomba Rais kujiuzulu…” Dk. Ibrahim Msabaha
“
“Mikataba yote sasa iletwe bungeni ijadiliwe…ianzishwe kamati ya kufuatilia kauli zinazotolewa na serikali hapa bungeni……kila aliyehusika atetemeke aondoke humu ndani..hatuna mzaha..”
Mh. Kilonsi Mporogomi (CCM).
“Hawa TAKUKURU sijui wafanywaje sasa…
No comments:
Post a Comment