Tuesday, June 17, 2008

Ali Kiba mjini Oslo



Katika mambo ya kuendeleza libeneke ndani ya Oslo. Ali Kiba ameingia studio kurekodi pamoja na wakali wa rap kutoka Senegal ambao wanatarajia kutoa single pamoja na msanii Ali kwa jinsi anavyokubalika wadau wakae mkao wa kula. Hassan, Oslo - Norway



No comments: