Sunday, June 08, 2008

Bunge la Uingereza laambiwa inaongozwa kidikteta

yachafuliwa



Kisa, Mengi kudaiwa kumnyanyasa raia wa nchi hiyo
na Mwandishi Wetu

BUNGE la Uingereza limeelezwa kuwa Tanzania si nchi salama kwa raia wa nchi hiyo kuishi na kuwekeza kwa sababu inaongozwa kidikteta na kikundi kidogo cha watu.

Limeelezwa kuwa Tanzania inaendeshwa kwa ustadi na kikundi cha watu wachache na kwamba Serikali ya Uingereza haipaswi kuendelea kutetea ushawishi wa uwekezaji wa fedha hapa nchini au kuendelea na mpango wa kutoa misaada chini ya utawala uliopo.


Bofya na endelea>>>>>

1 comment:

Anonymous said...

Tanzania imechafuliwa au imeumbuliwa. Mambo yanayosemwa si ndiyo hata watanzania wanatendewa kila siku? Watanzania hatuna haki tunaishi kwenye dimbwi la uonevu na rushwa.