Sunday, June 08, 2008

Kutoacha wasia

Kunachochea dhuluma


na Asha Bani

KUTOACHA wasia ni chanzo kikubwa kinachowafanya wanawake na watoto kudhulumiwa haki zao za kurithi mali wazazi au wenzi wao wanapofariki.

Hayo yalibainishwa jana Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Sazi Salua, katika uzinduzi wa Huduma ya Kuhifadhi Wasia katika wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA).


Bofya na endelea>>>>>

No comments: