Vitambulisho vya taifa
vina umuhimu mkubwa
kimaisha
Na Abdul Mitumba
Serikali imeridhia matumizi ya sh.Bilioni 150 kufanikisha mradi mkubwa wa kutengeneza vitambulisho ya utaifa ili kurahisisha kujua idadi halisi ya raia na wakazi wake wanaokadiriwa kufikia milioni 38. Mpango huo umekuja ikiwa ni miaka 22 sasa tangu serikali ilipopitisha sheria ya kuwepo kwa mradi huo. Nini chimbuko na faida ya mpango huu? Mwandishi Abdul Mitumba anaeleza katika makala hii.
Kwa mtu wa kawaida akiambiwa ni muhimu kwake kuwa na Kitambulisho cha Taifa , hawezi kuelewa kwa haraka faida yake, hadi upate muda wa kutosha kumuelimisha.
Bonyeza na endelea>>>>>
1 comment:
Ni muhimu sana raia kuwa na vitambulisho vya taifa. Wenzetu Kenya wamekuwa na "vipande" muda mrefu. Vinasaidia kujuwa nani ni nani nchini. Wasiwasi wangu ni jinsi gani na vigezo gani vitatumika kumpa "Mtanzania" hicho kitambulisho cha taifa. Kama pasipoti zetu ambazo zilitegemewa itakuwa vigumu kuzipata kwa asiyeluwa Mtanzania na zinatumiwa na watu wasio Watanzania, itakuwa, itakuwaje kwa hivyo vitambulisho?
Post a Comment