Very complicated issue. Kifupi nimesikitishwa na huyu mama kipofu. je sisi kama watanzania tunaoishi hapa Norway hatuwezi kuchanga min. Kr. 100 each ili angalau kumjengea nyumba ambayo ina standard kuliko humo anamoishi? Hili ni wazo langu tu, kama kuna mtu anayeniunga mkono pls toa maoni.
3 comments:

Wazo zuri...lakini tutampataje huyo mama kipofu?
Tunaweza kuwacontact waliochukua hii vi
Post a Comment