Tuesday, July 29, 2008

CHACHA WANGWE

AFARIKI DUNIA!



Mbunge wa Tarime, kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Chacha Wangwe, amefariki dunia usiku huu katika ajali ya gari. Habari zinasema kuwa marehemu alipata ajali eneo la Kongwa Dodoma akitokea Dodoma Bungeni. Hivi sasa maiti yake imehifadhiwa katika hospitali ya mkoa, Dodoma.

No comments: