
Luqman Maloto na Issa Mnally
MSANII nguli wa Muziki wa Bongo Fleva, Khaleed Mohammed ‘TID’ juzi Jumatano alijikuta katika wakati mgumu pale alipogombewa na askari wa Jeshi la Magereza kabla ya kwenda gerezani na pia kushangiliwa na wafungwa katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam mara baada ya kufika ili kuanza kutumikia kifungo chake cha mwaka mmoja..
Bofya na endelea>>>>>
3 comments:
TID analia gerezani? jamaa atakuwa atafnywa mke wa mtu. Si mnajua tena mambo ya magereza ya kwetu, nchi zinazoendela, Marekani ya Kusini, Marekani (USA), Asia...Ukiingia ukiwa mnyonge jamaa watakuwalawiti wakugeuze mke wao...TID ameonyesha udhaifu kwa kuanza kulia mbele ya wafungwa wenzake....duh...namwonea huruma....
Unamwonea huruam TID? Kajitakia mwenyewe...mambo aliyokuwa anafanya hakujua kama anavunja sheria? Na ukivunja sheria mwisho wake ni jela?
Wacha akaone cha mtema kuni!!!!
Kwanza:
Jamaa wa kawaida atajifanya mbabe. Kwa udhaifu wa TID, jamaa atamla.
Pili.
Atakuja mbabe wa kawaida. Akikikataa, atadundwa ahalafu jamaa atamla kwa nguvu.
Tatu.
Yote haya yakitokea mbabe haswa anaangalia tu. Sasa itakuwa zamu yake ya kum...ra TID. Jamaa atashughulikiwa ipasavyo kila siku...Mpaka atazoea. Basi kuanzia hapo keshakuwa mke wa mtu...
Mtu anaweza kujiuliza nimejuaje yote hayo?
Nilikuwa namfahamu jamaa mmoja tusisoma naye. Akaenda kuwa accountant shirika flani hivi. Akaiba hlea akakamatwa na kupelekwa mahakamani. Akahukumiwa kufungwa. Mwaka mmoja na nusu. Aliporudi alikuwa anatuhadithia mambo ya lupango.
Jamaa alikuwa anasema kilichomponyesha yeye ni mshiko. Jamaa alimfuata usiku akaanza kumwuliza kwa upole nini kilichofanya akafungwa. Jamaa akasema kwa haraka haraka ameiba hela kibao na anazo. Jamaa mbabe akamwambia atamlinda kama atakuwa anampa hela kila mwisho wa mwezi.
Jamaa alikuwa nazo na alikuwa anamlipa mshahara huyo mbabe. Hicho ndicho kilichomnusuru kulawitiwa...
Post a Comment