Sunday, July 06, 2008

Miss Kanda ya

Mashariki




Miss Kanda ya Mashariki ambaye pia ni Miss Pwani 2008 , Flora Mvungi (20), akipozi kwa picha baada ya kuwashinda wenzake 12 katika kinyang’anyiro lilichofanyika Usiku wa kuamkia Julai 5 katika ukumbi wa Vijana wa Mjini mjini Morogoro.

Kwa hisani ya Father Kidevu (Mroki)

No comments: