Thursday, July 17, 2008

Na Issa Mnally

Licha ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Abbas Kandoro na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova kuwachimbia mkwara wasichana wanaojihusisha na biashara ya ukahaba jijini, hali imezidi kuwa mbaya kufuatia hivi karibuni wasichana waliodaiwa kuwa wanafunzi kunaswa wakijiuza katika maeneo ya Sinza...


No comments: