Na Waandishi wetu, Dodoma, Dar, Arusha, Moshi na Mwanza.
Kitendo cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda (MKPP) kutumia maneno mengi ya lugha ya kiingereza katika hotuba zake ya kuhitimisha mjadala wa bajeti ya ofisi yake Bungeni Dodoma wiki iliyopita, kimewakera wananchi kiasi cha kumtolea uvivu na kumpa laivu bila woga.
Dukuduku lao hilo.
Wakizungumza na Waandishi wetu kwa nyakati tofauti mwishoni mwa wiki mara baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, wananchi hao kutoka mikoa ya Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Kilimanjaro na Mwanza walisema kuwa Mhe. Pinda aelewe kwamba anapozungumza bungeni anazungumza na wananchi wengine walio nje ya bunge....
Bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment