Wednesday, July 02, 2008


Mkuu Michuzi anabadili
frekwensi...

ANUANI MPYA GLOBU YA JAMII YAJAWADAU WATUKUFU,KUTOKANA NA MABADILIKO MAKUBWA YANAYOTARAJIWA KUFANYIKA KWANZIA LEO USIKU SAA SITA USIKU KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI ANUANI YA BLOG YANGU INABADILIKA TOKA

issamichuzi.blogspot.com

NA KUWA


www.michuzi-blog.com IL

A MUONEKANO WA BLOGU YANGU UTAENDELEA KUWA ULE ULE BILA MABADILIKO ZAIDI YA KUONGEZA HUDIUMA IKIWA NI PAMOJA NA ZA VIDEO.
WENU KATIKA KUENDELEZA MAWASILIANO YA
TEKNOLOJIA YA KISASA
MUHIDIN ISSA MICHUZI



No comments: