Wednesday, July 09, 2008

Kikwete kwenye

Mkutano wa G8



Rais Jakaya Kikweye na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika(AU)akisalimia na Rais wa Urusi Medvedev kwenye mkutano wa Mataifa Tajiri wa G8
unaofanyika nchini Japan.

Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Uingereza Gordon Brown kwenye mkutano wa mataifa tajiri
duniani G8 nchini Japan.

Rais Jakaya Kikwete na Kansela wa Ujerumani, Bi. Angela Merkel


Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu wa Kanada, Stephen Harper


--------------
Rais Jakaya Kikwete pamoja na kushiriki mkutano wa G8 pia alipata nafasi ya kuzungumza na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu wa Uingereza Gordon Brown (mmoja wa wafadhili wakubwa wa Tanzania) Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, Rais wa benki kuu ambao ndio wanatukopesha pamoja na asasi zake Robert Zoellick na Rais wa Urusi Dmitry Medvedev.
Picha zote na Freddy Maro/Ikulu
Habari hizi kutoka kwa mdau Haki Ngowi



No comments: