Sijakosea kusema
Gloria Tesha, Dodoma
Daily News; Friday, July 11, 2008 @07:50
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema hakuteleza kuhusu kauli yake kuwa Zanzibar siyo nchi, lakini akaagiza Wanasheria Wakuu wawili kuzifanyia kazi tafsiri za Katiba zinazoleta utata kuhusu suala hilo.
Alisema bungeni jana kuwa kutokana na suala hilo kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi na viongozi kadhaa wa pande zote mbili, linapaswa kufuatiliwa na kushughulikiwa kwa umakini.

No comments:
Post a Comment