Friday, October 31, 2008


Na Imelda Mtema

Lile sakata la Miss Tanzania 2008, Nasreen Karim kudaiwa kutembea na mume wa mtu aitwaye Mwinyi Ahmed limefikia tamati kufuatia Mhariri wa gazeti hili na uongozi wa Kampuni ya Global Publishers, kuwakutanisha wawili hao na kuongea nao huku akiwataka kuvunja uhusiano wao haramu....



No comments: