Hatma ya EPA:
Marekani:
Kikwete awe mkali
*Yataka sheria ziachwe zifuate mkondo wake
*Yasubiri uamuzi kuhusu sakata la ufisadi
*Yaguswa na usanii wa kampuni ya Richmond
*Yaahidi Rais Obama au McCain kuja nchini
Na Hassan Abbas
Balozi Mark Green
Balozi Green alisema hayo jana katika mahojiano maalumu na gazeti hili ofisini kwake Dar es Salaam kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa Marekani, mtikisiko wa uchumi, hali ya kisiasa nchini na mtazamo wake kuhusu wagombea, maseneta Barack Obama na John McCain.
1 comment:
Wapendwa "Yes We Can!",
ushindi wa Obama ni ushindi wa wote wamaopenda amani na maendeleo na hasa wengi wasio weupe kwa sababu zifutazo:
1) ushindi huo unaonyesha kuwa kila mtu ana uwezo wa kufikia ngazi yeyote ile ya uongozi na maendeleo. Hakuna wateule wachache waliochaguliwa na Mola kuongoza wengine au kuendelea. Hii ni opportunity for tapping, hata sisi Watanzania tunawenza kukuza utalii nk
2) Ushindi huo ni ujumbe kwa viongozi wa Afrika kuwa wananchi wao wanao uwezo wa mkubwa ila wapewe confidence na waaminiwe. Pia wanahitaji sera zinazofaa (sio zile za kuletewa) na uongozi bora.
3) pia ushindi huo unaonyesha kukomaa kwa demokrasia, kama ingukuwa Afrika, nahisi Bush angeshinikiza McCain ang'ang'anie kiti na Obama awe PM kama ilivyo Kenya, Zimbabwe, n.k
4) Obama amewaunganisha Wakenya, kwani walewale waliokuwa wanapigana mawe, kuchomeana nyumba na kuuana jana, leo hii wameweka kando tofati zao na wanasherehekea ushind wa Obama. Tuamini wanaendelea na mshikamano huo na kusahau kabisa ukabila. Vivyo hivyo Afrika nzima!
Mimi ningemshauri ndugu zake Obama wamwache Obama afanye kazi yake na pia Obama asiwaendekeze kwani binadamu hupenda dezo mno na akiacha mwanya kidogo tuu basi kijiji alikotoka wote watahamia Ikulu ya Marekani. Pia Obama angehutubia AU na awahamasishe viongozi wa Afrika walifanye bara hili kuwa business patners na sio dampo la majaribio ya sera na misaada.
Kwa wale wanaotegemea misaada kutoka kwa Obama, ninamshauri Obama asitoe misaada kwani katika kusoma kwangu sijawahi kusikia taifa lolote lile ulimwenguni ambalo limetajirika kwa misaada. Maendeleo hayaletwi kwa wingi wa pesa bali kwa ubunifu, maarifa na kazi. Fedha na misaada ni nyenzo na sio mhimili wa kuleta maendeleo.
Nasikitika kuona kuwa vijana wasomi wetu hawaonyeshi kujifunza kutokana na ushindi wa Obama. Wale vijana wa Vyuoni wamebaki kucheza 'twist' wakati muziki unaopigwa ni 'bongo flava'!
Mungu mbariki Obama! Ibariki Tanzania na Wabariki Waafrika wote!
Richard
Post a Comment