Tuesday, November 04, 2008


matonya

BIG TIME PROMOTIONS INAWALETEA

MATONYA EUROPE 
TOUR 2008

WADAU WA UGHAIBUNI KAENI MKAO WA KULA KWA TUA YA KUKATA NA SHOKA KTK MAMBO YA KUENDELEZA LIBENEKE LA BONGO FLAVA.


RATIBA NI KAMA IFUATAVYO NA MATANGAZO
YANAFUATIA HIVI KARIBUNI YA NCHI NA TAREHE

1.BELGIUM - 07.11.2008
2.FRANCE - 08.11.2008
3.FINLAND - 15.11.2008
4.NORWAY - 21.11.2008
5.BERLIN - 22.11.2008
6.HOLLAND - 28.11.2008
7.FRANKFURT - 29.11.2008

RATIBA NYINGINE ZITAFUATIA
CONTACT
HASSAN, Oslo, Norway
+4747262181




MATONYA feat LADY J.D - ANITA

No comments: