Thursday, November 13, 2008


MATONYA NDANI YA OSLO BIG TIME PROMOTIONS INAWALETEA MAMBO YA KUENDELEZA LIBENEKE LA BONGO FLAVA UGHAIBUNI, MSANII WA BONGO FLAVA'' MATONYA'' ANATARAJIA KUWAPAGAISHA WADAU WA MJINI OSLO NORWAY, KTK MAMBO YA KUSHEREHEKEA OBAMA NA KUKANDAMIZA BONGO FLAVA. WADAU WA BERLIN,HOLLAND NA FRANKFURT NAO WAKAE MKAO WA KULA KWANI NAKO HUKO MOTO UTAWAKIA KUTOKANA NA RATIBA YAO.

CONTACT

HASSAN NGANZO
+4747262181

FRED MAKOSIR 
+4795178106



No comments: