”I am an African – Nakaaya"
Msanii anayeshamiri kwenye anga ya mziki, Nakaaya Sumari ametoa kibao kipya kiitwacho ”I am an African”. Hivi karibuni, Nakaaya ametia mkataba na kampuni kubwa ya usambazaji wa mziki duniani, Sony Music ya Marekani. Tunamtakia Nakaaya kila la heri. Sikiliza wimbo wake huo mpya kwenye:
http://www.bongocelebrity.com/
Msikilize kwenye CNN na sikiliza baadhi ya nyimbo zake
No comments:
Post a Comment