Wednesday, May 27, 2009

Leo ni leo asemaye

kesho mwongo!




Leo mjini Roma kwenye uwanja wa Olimpiki ni mechi ya fainali za mabingwa wa Ulaya (The UEFA Champions League (usually referred to as simply the Champions League or less frequently as the European Cup) kati ya Barcelona (Barca) na Manchester United (ManU au kwa jina lingine "The Red Devil"

Nani ataibuka mshindi? Ni vigumu kutabiri. Tusubiri hadi dakika 90 (au 120 za nyongeza?) za soka la mwaka!

No comments: