Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Parvis Davoodi wakipungia mikono wananchi walipowasili kwenye viwanja vya Karimjee Dar es Salaam jana. Makamu wa Rais wa Iran yupo nchini kwa ziara ya siku mbili ya kiserikali.
Picha kutoka HabariLEO.
No comments:
Post a Comment