Monday, May 18, 2009


Mtu aliyebadili jinsia azua

kizaazaa Dar es Salaam

 

  

Exuper Kachenje

WAKAZI wa maeneo ya Mwananyamala wilayani Kinondoni jana walimiminika katika hospitali ya Mwananyamala, kutaka kumuona mgonjwa aliyelazwa ambaye anadaiwa kuwa alibadili jinsia yake na kuwa mwanamke.

Imeelezwa kuwa mgonjwa huyo aliokotwa na polisi kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Mbezi jijini Dar es Salaam. Alikuwa hajitambui na habari zaidi zinasema kuwa alikuwa amebakwa…bofya na soma>>>>> 


No comments: