Ulokole kushoto,
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
U wapi mpenzi? Hata siku moja huwezi kudowea lifti ukaja kunifariji mimi mwenzio? Nilivyo na hamu na wewe, natafuta hata usafiri wa ungo ushtuke mimi niko pembeni mwako. Kila siku nyingine inapopita najisikia mpweke zaidi bila mpenzi wangu pekee. Na likizo bado iko mbali. Njoo Bwana ee nipate tulizo…bofya na soma zaidi>>>>>
No comments:
Post a Comment