Dokta Cheni mgeni rasmi ktk
mnuso wa ubwete jioni ya
leo ndani ya Underground
Safari Disco Oslo Norway...
Tunayo furaha Kubwa sana kufikiwa na mgeni rasmi,
Doctor Cheni ambaye msaani mkali wa
kuigiza filam za Kitanzania
Yuko ndani ya Norway mjini Oslo kwa
ghafla basi nasi moja kwa moja tunampokea
kwa furaha Jioni ya leo aliomba awasalimie
Watanzania wote waishio Mjini hapa.
anapenda kuwaonyesha watanzania wote wa
Norway au Oslo jioni ya leo.
pia week hii ni yeye atakuwa V.I.P Guest ndani ya
Biblos on Friday 31. Aug Bila kuchelewa wahi
mapema ujionee maendeleo ya Watanzania wenye bidii...
Mahali ni
Oslo. Norway
Entre: 50 kr.
door open kl.21-03
Karibuni
Music ya Bongo Flavaz Swahili beat &
Zuku Rumba
1 comment:
jamani uyu kaka hana majivuno kabisaaaa yani tuliishi nae kwa raha zake mpaka anaondoka bila matatizo big up cheni uko juu
Post a Comment