Thursday, July 30, 2009

Michael Jackson

akicheza na watoto wake

mara ya kwanza kuonekana






Video inaonyesha mfalme wa mziki Pop, Michael Jackson akicheza na watoto wake wawili Prince Michael (12) na Paris (11) wakati walipokuwa wadogo akionyesha jinsi alivyokuwa baba mwenye mapenzi kwa watoto wake.

Michael anaonekana akiimba na kucheza na watoto wake hao kwenye jumba lake la kifahari la Neverland lililopo California.


No comments: